Hapa appetite imekaa vizuri
Don't eat cancer!
Hakuna paka hapo umpe hicho kichwa?



Don't eat cancer!
Behaviourist Maisha magumu pia wengi wetu hatuna utamaduni wa kuandaa a healthful,balanced meals.
Mimi nimekumbusha tu mpendwa! Ni vyema siku moja moja kula healthy food na siyo kula cancer kila siku!Behaviourist Maisha magumu pia wengi wetu hatuna utamaduni wa kuandaa a healthful,balanced meals.
Chakula changu pendwa, ugali, dagaa na tembele