Nishaipigia na Co-malather hapaDah kwa menu hiyo malaria lazima ikimbie
Bora kinyumbani nyumbani, hizo menyu za wazungu nazoziona humu unaweza kula nnya ukifikiri ni bonge la msosi.View attachment 596673
Bweche na mandondo . Mchana mwema wakuu
Wapendwa Alibakari leo hayuko poa, Malaria inasumbua na anaendelea na dozi. Hata hivyo ilikuwa chai ya leo hii![]()
Ahsante missyrose nashukuru sana leo nimepata nafuu.Pole sana Ally.
Duuh shahawa
Inapigana vikumbo tumboni loh