missyrose
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 3,014
- 7,337
Hizo chapati umenikumbusha nyumbani kwetu nilipokwenda kwa mama kipindi cha mapumziko ya mwaka

Unapatikana wapi?Njoo uchukue![]()
Hizo chapati umenikumbusha nyumbani kwetu nilipokwenda kwa mama kipindi cha mapumziko ya mwaka![]()
![]()
![]()
Unapatikana wapi?
Kisukulu, kweli Dar kubwa ndio wapi hiyo?Kisukulu..karibu.
Unaamaanisha Tabata kisukuru, ok. Ahsante![]()
Tabata hiyo
Unaamaanisha Tabata kisukuru, ok. Itabidi nikipata siju nikutafute.
Thanks my dear.You're warmly welcome.
Chapati zilizotukukaTuko kazini bado!!
Chapati zilizotukuka

Duhh! Sawaa Mkuu wa Tabata Kisukuru!!