missyrose
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 3,014
- 7,337
Kweli eehh!!? Ngoja Wajukuu waniandalie siku moja,then nitaleta mrejesho![]()
Jaribu..simple sana hata bila wajukuu unaandaa

Kweli eehh!!? Ngoja Wajukuu waniandalie siku moja,then nitaleta mrejesho![]()

Duhh!! Kiukweli sijawahi kukaa na kuanza kupika tangu niijue dunia!!Jaribu..simple sana hata bila wajukuu unaandaa![]()
Duhh!! Kiukweli sijawahi kukaa na kuanza kupika tangu niijue dunia!!
Bibi hataki umuingilie au sio.Hataki kabisa. Ni shidaa![]()
![]()
Bibi hataki umuingilie au sio.
Road patroo
Nitajie mchanganyiko wa vilivyomo humo. Nataka nipike na mimi.
Hapa ndo penyewee
Huu ni ubwabwa sio wali
Teh teh teh! Tubwiii.Hii kitu hatari sana...
Hapo unaugali wa unga wa Muhongo wa kutwangwa sio wa mashine. Matonge unakuwa unayasikilizia yanapita kwenye aesofagasi tu, tubwiii
Mkuu vp hayo unauza?