dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Hii pole ndiyo imeniumiza zaidi
Hii pole ndiyo imeniumiza zaidi..
Anything for love
Economic,hii kwa bachela inakubalika kabisa,cha muhimu uwe na mchele wako ndani,Nyanya fungu moja 500/- na mboga za majani siku hizi za kumwaga...
Acha majungu mtoto wa kiume,
Naona mnawapangia watu cha kupostPost kibaya tu hata cha mboga moja.... Hakuna shida
Jr