Chungulia ujumbe kisha sema neno
Jr![]()

mshana ndio maana nakupendaga. Ubarikiwe
Inaitwa Mseto ,Pilau la ndondo
Jr![]()
Moshi iyoUmenikumbusha mbali
Jr![]()

Na mimi nichungulie ujumbe eehChungulia ujumbe kisha sema neno
Jr![]()



hupendi ugali bila shaka
Napenda sana ila ugali mchuzi sipendi, kungekuwa na mboga za majani au maharagehupendi ugali bila shaka
Be Humble is free of charge![]()
Napenda sana ila ugali mchuzi sipendi, kungekuwa na mboga za majani au maharage
Sent using Jamii Forums mobile app

Niko salama kabisaHapo nimekuelewa mamdogo
Uko salama lkn
Be Humble is free of charge![]()
