THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,066
- 4,769
Karibu dada

Rafiki we bahili sana,i will eat for living and not for dying!View attachment 999392View attachment 999393View attachment 999394View attachment 999395
Aaaa mkwe hapo ilibidi upate na harage la nazi,chai maziwa murua kabisa
Aaaa mkwe hapo ilibidi upate na harage la nazi,chai maziwa murua kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app


,next time ntakula hivo mkwe.
Karibu wa rangi

Oya mwana, vitu vyangu hivi ujue! Tualikane banaKuku,supu naView attachment 1002166
Karibu mess kwa maofisa kapera..... Hahahahahaaaa
Unikaribishe na mie mkwe wako nije nifaidi matunda ya muungano wetu mtukufu.
Unikaribishe na mie mkwe wako nije nifaidi matunda ya muungano wetu mtukufu.
Sent using Jamii Forums mobile app

Ongezea na gharama za karafuu ya chai na iliki,Fanya bilion 3 itapendeza zaidiUsijali kwa hilo,siku ukiambiwa ulete mahari billioni 1 usijekukimbia tu maana tunaweka Na gharama za samli Na unga humo humo
Sent using Jamii Forums mobile app


