Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
Tukaribie.
Mie najua ya maziwa,mayai na arki
Wewe unaweka nini?
HhhhhHakuna wanaokula maharage humu?
Naona manyamanyama tu

msosi heviiii😛😛Hii supu nilitengeneza kwa job mahalumu..maswali staki!!View attachment 979658View attachment 979659
Sent using Jamii Forums mobile app
Mahandalizi ya kusimamia ukucha...! K-vant haitaki ligi ujueHii supu nilitengeneza kwa job mahalumu..maswali staki!!View attachment 979658View attachment 979659
Sent using Jamii Forums mobile app




Mungu wangu jana leo mpaka milele kila siku tusi limeshasetiwa automaticallyWasseenge wamenikera sana!
Umeona wapi unabusbiri msosi masaa mawili...halafu watu waliokukuta wanaletewa msosi wao, wanakula na kumaliza, halafu wewe wa kwako bado hauji.
Mbaya zaidi, hao watu wengine wanaoletewa msosi wao, ndo huo huo ambao nawe umeagiza!!!
Ina maana wanafaulisha oda?
Kumnnna zao hao Bata Point.
*** em yesterday, *** em today, *** em forever.

Mungu wangu jana leo mpaka milele kila siku tusi limeshasetiwa automatically
Jr![]()