Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,096
- 9,074
Unaosha kabla hujalikataUkiosha haiwi na mchuzi kweli?
Unaosha kabla hujalikataUkiosha haiwi na mchuzi kweli?
Ila mimi naosha na nikipika haliwi na michuziDaah sijui kama nitaweza
Ila mimi naosha na nikipika haliwi na michuzi


sasa hapo ni kwamba hujaosha
Tamu..kuna wengine huwa hawaoshi basi inakuwaga nzitoooo unaiskia kabisa ile ladha hadi unasinzia kwa utamu..
Weekend umeanza mapema uwi..



,mh pia unatakiwa usugue Na ndimu kdg kukata harufu Na vidudu.Shukran.
Will make a trip and represent..

Kaimati.
Nimekosea shira wanangu wamekunywa kama mchuzi
Huwa inafanywaje inate?
Unaotengeza kwanza kabla ya kaimati usiweke maji mengi.
Alafu unasubiria kaimati zipoe kdg.
Vipi hawajambo watoto?
MaashaAllah Allah awazidishie uzima.
Kwio anaonekana mtamu sana.
Aisee acha kabisa!
Huyu kwio alikuwa mtamu sana. Ukiwa pande hizi za kanda ya ziwa na recommend upacheki hapo.
Btw, nina niece wangu anawaitaga kuku ‘kwio’
Hahahaaa....

Nashushia chai na picha ya maandazi yako yale mkwe farkhina
NB.
Hii ni kwa wale wanaochangia kodi ya nchi kwa kupitia majani na maziwa![]()
Mshana JrView attachment 974842



Nashushia chai na picha ya maandazi yako yale mkwe farkhina
NB.
Hii ni kwa wale wanaochangia kodi ya nchi kwa kupitia majani na maziwa![]()
Mshana JrView attachment 974842
