yeah stata hiyo ya kuweka tumbo sawa
Hii ni starter
Downloaded
Tamu sana.
Uwe na pilipili kwa pembeni na ndimu...acha kabisa!
Boflo nimekula sana enzi nipo dogo.
Huu msosi tukiuweka kwenye mizania ya urembo basi ungeshinda Miss World..
Dah nikipata hi kitu ingekua poa sana na Yale ma balimi niliyo fakamia jana
Samaki nchanga!Huyo samaki huyo![]()
Huu msosi tukiuweka kwenye mizania ya urembo basi ungeshinda Miss World..

Umekosa chatine tu hapo na mishkaki