missyrose
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 3,014
- 7,337
Hmm Nani huyo?Ama leo anakulisha vizuri![]()
![]()
Sio mchezo
Mpishi..hata kama ni wewe mwenyewe.![]()
![]()

Dah...! farkhina.... Mambo ya Angel Nylon haya
Bidada tualikane bana![]()
Umedanlodi eeh?
Ushachagua yupi kwa supu?
Yup...huyo wa kwanza hapo.
Amenona? Supu ya kuku wa kienyeji ni tamu sana upate kwa maandazi wee utamu acha tu,hivi ushawahi kula boflo?