Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
Ndo ivo nakucheki dingo.
Vipi shwari lkini?
Vipi shwari lkini?
Hahaa! Viwonder au sio
Hahaa! Viwonder au sio
Bwana wee!Naona unapambana na hali yako
Sawa endelea kunicheka
Shwari kabisa sijui huko uliko? KamandaNdo ivo nakucheki dingo.
Vipi shwari lkini?
Cha mtume.....
#Lifestyle View attachment 956301
Wapi supu??
Huku kuko poa sana bro.Shwari kabisa sijui huko uliko? Kamanda
Naam! Ila soseji nimenunuaHii umetengeneza mwenyewe
Aisee! Wapi huko?Huku kuko poa sana bro.
Joto Kali na samaki kwa wingi. Najifaidia majodar tu na nguru.
ngoja ninywe zangu ujiHii chips ya kupika home hii,hua sio tam#Lifestyle View attachment 956301
Ng'ombe rost na viazHiyo ni kitimoto tu.
Nimekosea?