THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,066
- 4,769
Ungejua nnavo penda nyau...!!Subiri niku mention kwenye uzi wangu wa nyau upo mda.
Ungejua nnavo penda nyau...!!Subiri niku mention kwenye uzi wangu wa nyau upo mda.
Yummy yummy!!
Dah kwa sie tunaopenda kula vizuri tukipata wa kuoa mpishi kama wewe (ceteris peribus) tuta enjoy sana.Hata hawajawiva bado![]()
Hizi chips za samaki samaki.....au nimekoseaa??
Hivi ujumbe wangu haukuuonaa lakin jaman??
It’s my favourite.
Nyumbani Zanzibar tunaita mapesheni.
Jaman sasa huku ni kutoana roho