Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,086
- 16,060
Kula vyote ila sio kabichi.mboga mbaya sana
Boss naomba uangalie inbox yako tafadhaliHata sijui
Visiwan hii mkuu.Aisee! Wapi huko?
Yaani hapa nimesha mezea matengoja ninywe zangu uji
SawaKula vyote ila sio kabichi.mboga mbaya sana
NaombaUji Wa mchele mixer karoti View attachment 956637

Mnapata kitu roho inapendaVisiwan hii mkuu.
Tokea dagaa lilipopigwa marafuku kusafirishwa basi tumepata afueni sana ya kula kina jodari.
Swadakta bro.AiseeMnapata kitu roho inapenda
Saa hz bado upo au umeisha asubuhNjoo uchukue sasa
![]()
Swadakta bro.
Naomba jamani
Kwakweli umeishaSaa hz bado upo au umeisha asubuh

Ila dingi unajipenda kinomaUji Wa mchele mixer karoti View attachment 956637
We mtu nikirudi hom nitakulipa. Siwezi kukubali unifunike![]()

haya nasubiri urudiChaliifrancisco kujipenda muhimu maana vitu vingine ukisubir upewe utasikia kwa jirani tuIla dingi unajipenda kinoma
Dah,sista,huo ubwabwa birian au pilau,daah,hakuna chakula napenda dunian kama pilau,hata madem zangu wanatambua hilo