Ya nyumbani hainogi sana kama ya kununua
Umeona eehYa nyumbani hainogi sana kama ya kununua
Utume na after kuandaa. Vya kununua sijui wanapikia bila nguo. Kuna kipindi nilikua naenda umbali mrefu kufuata mihogo ya mama mmoja hivi. Mpaka nikajishangaa baadaeWe wasema hapo naiandalia ma effects kama yote..
Lazima inoge tu
Nimeona mamaUmeona eeh
Utume na after kuandaa. Vya kununua sijui wanapikia bila nguo. Kuna kipindi nilikua naenda umbali mrefu kufuata mihogo ya mama mmoja hivi. Mpaka nikajishangaa baadae
Sijui ni njaa au kitu gani natamani kitimoto
Naam kwa maneno haya kweli nimeamini we mwarabu mswahili'Utume na after kuandaa. Vya kununua sijui wanapikia bila nguo. Kuna kipindi nilikua naenda umbali mrefu kufuata mihogo ya mama mmoja hivi. Mpaka nikajishangaa baadae
Ugali kama wa mwanamke
Wote mzee . Nipo sawa sana kwa hii sector.
We nae bhana usitake kutuchanganya bwana we nyumbani kwako kila sehemu ni ya kulia chakula? Kuna ubaya gani kuwa na location moja ya kulia chakula
Na kweli, ya kuchemsha kwanza huwa ni mitamu kweli na ni laini.Uliichemsha kwanza?
Nyama ya nini?
Na kweli, ya kuchemsha kwanza huwa ni mitamu kweli na ni laini.