witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,747
Twin mi mpenzi wa samaki kupita kiasi na other sea stuffs.....sasa pale samora posta kuna kimin hotel kinaitwa PADE INN....Jomoni ni wanajipilikisha balaaa!...Halafu napenda tambi kwa hiyo nikapakua nyingikuweka mdomo nilimaliza kwa tabu sana kile chakula!!
Twin weekend moja nipeleke kwa chef kile basiiii
Ukimaliza ile ishu yako nistue twende pale!


