Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

IMG-20180923-WA0003.jpg
 
Haaahaaa .....jomoni unajistukia asee

Am serious huwa nakuona hapa kwenye huu uzi nifundishe na mimi basi

kama sijisikii kula nikipita humu najikuta nikiona kitu najikuta napata hamu nacho so napika nile.

Halafu huwa unaniona sababu unautembelea huu uzi kimya kimya ehee?

Unataka nikufundishe chakula gani?
 
Kuandika maelezo sasa!!

Twin hebu niache!! Ungekua serious ningekutumia voice note ya maelezo whatsap

mimi hii nakula nikipika mwenyewe kwa mtu siwezi kuna sehemu nilikuta wameweka chumvi na sukari nilihisi tapika.
Ishhhhh.....chumvi na sukari??? ...kutapika muhimu asee!
 
Back
Top Bottom