Ahaa duuh
Ahaa duuh
Tulia wwhalafu ye haleti vyake..ana dis tu vya watu

Sema naeAfandeee.....![]()
![]()
![]()
![]()
Hii mbona kama ya kugoogle..
We mwamba mzinguaji kinoma.Hii mbona kama ya kugoogle..
Kasahani kako wanakokutengea chakula nakajua..



Wikiendi hii..mwendo wa kujinafasi
Muwe mnawekaga na picha ya sponsor
Pili pili zipo hapo ? halafu huyo ni wewe ai shemeji yetu?
Pilipili haiwezi kukosekana mkuu, maisha yenyewe ni haya haya hamna menginePili pili zipo hapo ? halafu huyo ni wewe ai shemeji yetu?
Doooh...Wkend MoodView attachment 929119