Ni ya kweli naonaKatika pita pita nikakutana na hii chai ya moto ikaniunguza. Ya kweli hayo? Jamaa niliona one time alipiguwa sana promo na masanja mkandamizaji
Lol..dagaa bila mlenda mimi nehiiHuu ugali bado nauwaza mpaka saiv. Sema mlenda mimi noooo sili kabisaa.
Hapo ugali uwe wa motooo na dagaa zimekolea pilipili unakula huku unatoa majashonitaula leo usiku
Samaki tu mkubwa, sana unashiba na kusaza

samaki mkubwa anaitwa fishAsante.. Unashiba kweli hapo tena umekula mapema saizi?Karibuuu
Chapat moja tu huwa inanitosha sasa leo vile nimepiga ndefu inabidi nifidie tu hakuna namnaAsante.. Unashiba kweli hapo tena umekula mapema saizi?


Chapat moja tu huwa inanitosha sasa leo vile nimepiga ndefu inabidi nifidie tu hakuna namna![]()
Yes double.Ni double fries au?![]()
Kitu cha pilauView attachment 878590
Mborea ndo nn mkuu??Mborea hiyo
una vidole vzrUsiku mwema!View attachment 902790
Samadi yakeMborea ndo nn mkuu??