Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,105
- 829,001
- Thread starter
- #3,461
Siku hizi unalala na kuamkia humu kwenye misosi tu
Tunakula Samaki tupu

Haya karibu sana tupate lunch keshoJina hilo hapo lipo wazi![]()
![]()
Na kule kwenye mitungi
sawa mkuu Hakuna aliewahi kuishinda mitungi sana sana mitungi inaweza kukutoa rohoItaisha yenyewe kabla haijanimaliza![]()
Nikija tena maana nimeshasepa tayari.Haya karibu sana tupate lunch kesho
Samaki tu mkubwa, sana unashiba na kusazaTunakula Samaki tupu![]()
Maashallah msosi umedamshii ile mbaya

Wali maharagwe na hizo bakuli huwa zinafaa sanaWali ndondoView attachment 859922