Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,089
Ahaa nilitaka kushangaaSufuria la kuongeza lipo pembeni
Ahaa nilitaka kushangaaSufuria la kuongeza lipo pembeni
Afadhali umwambieMkuu huku hakuna chura ni misosi tu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Acha kabisaaHilo collabo noma asee..
Eeeh maana utakuwa na njaa kali sana kama unaweza kumaliza hilo siniaSomalia![]()
We unafanya au unamwambia mwenzio tu?
Hahahaahaa kama hujaelewa basi maana hapa sio mahala pake ujueSekta ipi mbona umesupport tu bila kunijibu?
Mahaba niteketezeAhsanteee mtoto mzuri kwa ushauri.
Najitahidigi sana kufata kanuni za afya ila kwenye nyama nashindwa kuacha.
Ila sili nyama nyingi ni vifinyango vichache tu kutoa hamu.
Ila ngoja nianze kuachana na nyama nyekundu au niwe nakula kwa uchache wake.
Lov u Ms.N








Duuu..Vifinyango vichache? Wakati hapo nimeona robo kilo Na zaidi tena usiku huu unalala ,plus robo ya mchana then Fanya Mara mwezi Na mwaka.uzeeni utapata tabu sana Na kitandani
Wataka supu ya pweza yakhee!!Hivi shemeji yangu toka visiwani na mtaalamu wa mapishi kwenye uzi huu bwana @alibakar yu wapi siku hizi??