Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,096
- 9,074
Uzi unahusu vyakula halafu wewe unaposti chips??...Rafiki are you serious???!
Hcho ni chakula cha wanaume wa dar kama wwUzi unahusu vyakula halafu wewe unaposti chips??...Rafiki are you serious???!
Unafanya diet miss
Sizinguagi warembo bana mimi ni gentleman..hujui viagra au unamzingua tu huyu mrembo
??!!
Wanne mtashiba kweli? Hcho nafyekelea mbali mwenyew na hzo juice zoteUsiombe kukutana na sinia la ubwabwa wa nazi na maharage ya nazi na nyama ya kuoka na juice pembeni...
Karibuni tujumuike wana jfView attachment 892231
Wanne mtashiba kweli? Hcho nafyekelea mbali mwenyew na hzo juice zote



Sufuria la kuongeza lipo pembeniAsante sasaKaribu sanaView attachment 892205
Sekta ipi mbona umesupport tu bila kunijibu?Kweli aisee
Anazingua huyu![]()

supperHilo collabo noma asee..Usiombe kukutana na sinia la ubwabwa wa nazi na maharage ya nazi na nyama ya kuoka na juice pembeni...
Karibuni tujumuike wana jfView attachment 892231
We unafanya au unamwambia mwenzio tu?Tafuta japo nusu saa tu fanya nyumban kwako situps, prank na squat yaani utafurahi
Mkuu huku hakuna chura ni misosi tuUzi unahusu vyakula halafu wewe unaposti chips??...Rafiki are you serious???!

Labda kama umetoka jela au Somalia.Wanne mtashiba kweli? Hcho nafyekelea mbali mwenyew na hzo juice zote

Hapana dear nakula tu healthyUnafanya diet miss
Tulale basi
Ohoo vizurHapana dear nakula tu healthy