Uzi wa vyakula tu

Sasa huyo samaki kwa watu washenzi, wanampindua wanakula upande wa pili..
Kwa sisi wastaarabu tunatoa mwiba wa kati, tunakula nyama iliyobaki.

Usiende kuchumbia ukawekewa samaki, ukala uapmde mmoja kisha ukampindua kula upande wa pili, sehemu nyingine unapigwa makofi na mke unakosa...

Zingatia
KUMPINDUA
KULA UPANDE WA PILI
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…