Wakishua bwana!nikimaliza wiki bila kula zege, kipaja na pepsi huwa nahisi kuishiwa dam 😭 natamani niache maana natokewa na kitambi
sio wa kishua tatizo vya ukubwani ndo vinanitesa😪Wakishua bwana!
Humalizi wiki bila chipsi!
Mkuu usiweke picha za FB bwana, weka zako.