Wakishua wewe unabisha nini?sio wa kishua tatizo vya ukubwani ndo vinanitesa😪
wiki sitoboi kabisa asee
😄😄😄 ukishua upo wapi hapo kijana yani mlo wa afu 6mia tano ndo uniite hivyoWakishua wewe unabisha nini?
Zege = 3000 + Kidari = 2500 + Pepsi = 1000, jumla =6500!🌚
Sie papatu papatu hatuwezi.