mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,374
- 75,721
Tumemiss pishi lako la tambi mkuu.Hii burger mwitu 😹
Tumemiss pishi lako la tambi mkuu.Hii burger mwitu 😹
😹😹😹 dah!Tumemiss pishi lako la tambi mkuu.
Naomba kuwa mgeni wako😹😹😹 dah!
Subiri weekend nataka kutengeneza strawberry basil na tambi. Stay tune
KaribuNaomba kuwa mgeni wako
Basil na tambi sawa lamomy strawberry tena humo utatuua.😹😹😹 dah!
Subiri weekend nataka kutengeneza strawberry basil na tambi. Stay tune
😹 Tambi zinapikwa peke yake hiyo strawberry basil ni mocktail bana babu..!!Basil na tambi sawa lamomy strawberry tena humo utatuua.
Umefanya nimemis nyumbani ghafra,hako kaugali kalivyokatwa,kipande cha samaki na mboga mboga🙌🙌🙌🙌🙌
Ok ,then i know.😹 Tambi zinapikwa peke yake hiyo strawberry basil ni mocktail bana babu..!!
Kitimoto imenona