babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,932
- 20,224
No ndizi parachichi Mbeya tunakula tu,uponde ,upike,uchome,ukaange ni ndizi tu mapishi tofauti.Nilifikiri wanaume wengi hawapendi ndizi.
Kuna ndizi mkono wa tembo sijawai ona humu.
Ndyali,matoke5,bukoba
Kuna harare tunawapa nguruwe.
Kuna ndizi mabhifu.
Kuna zingine purple sikumbuki jina