Ilikuwa futari yangu mix magimbi na mabogamala ya mwisho kula maboga ni lini?
Eid Mubarak
oops my favorite combo jamn🤗Ilikuwa futari yangu mix magimbi na maboga
Usasa wa machips ya mjini unatualibu ila wazee wetu wako vzr hadi sasa kwa vyakula ivoops my favorite combo jamn🤗
kabisa aseee,, mi saivi najitahidi nipunguze vyakula vya kisista duu maana nilianza kuwa na mwili kama goliath ukiongeza na urefu nilonao ndo mtihani kabisa🤣🤣🤣Usasa wa machips ya mjini unatualibu ila wazee wetu wako vzr hadi sasa kwa vyakula iv