Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Late supper
1752254928286.jpg
 
20250712_202151.jpg


Hii inaitwa, mtoto hatumwi dukani...😋😋😋😋

20250712_202304.jpg


Usicheze mbali, unga roboo...😋😋😋😋

Hapo ina nyongeza ya mayonaizi na pilipili washawasha...😋😋😋.
 
20250712_205610.jpg


Hii ice cream, wametengezea maji ya naniliu si bureee....

Nilirudi kwa baresa kuongezea makopo 2...😋😋😋.
Kitu kina ladha ya sukari, chumvi, caramel na crackers hapohapo.... si kuvurugana huko jamaniii...🥺🥺😋😋😋😋😋.
 
Back
Top Bottom