Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

1751974682542.jpg
 
Bado niko nanjilinji chalii yangu, msosi wame Jitahidi Baada ya mwenyekiti kushikia panga wapishi😂🤣
Umenikumbusha kiwanja chetu pentagon pale mtwara.
Nanjilinji kusema ukweli nilitafuna mapande ya nyama makuuubwa.
Nikaghairi nikala mihogo tu na miwa.
Samaki wa nangulukulu balaa.
Lindi si mchezo tulibidi kula Vip kule nbc vikuku vimekauka km kaukau eti vip.
Maana mama ntilie na wengine hawakuwepo mjini mda ule sa moja usiku.
Safari ilikua bonge la adventura.
Hasa kile kipande cha nangulukuru kwenda somanga na mbele huko tulikoma.
 
Hahaha uli pakia Kweli kweli
 
Back
Top Bottom