Tujuane ambao tukibandika nyama inabidi tuichunge ili isimwagikie jikoni.....Sasa hakuna haja ya kuisubiria tena.
Ukishabandika unaweka mwiko kama hapo pichani halafu unaendelea na shunguli zako nyingine,itachemkia usawa huo huo wa maji na si vinginevyo...
Msisahau kuweka karoti na tangawizi mnapochemsha nyama ili kuondoa sumu,nyama ikishaiva unavitoa unatupa halafu unaandaa mahitaji mengine kwa ajili ya kuendelea na upishi.
Nawatakia upishi mwema😀💪🏿
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.