Uzi wa vyakula tu

Bibi nifundishe kupika,

Darasa umepata mjukuu, uje na mwiko na sufuria vingine utavikuta huku.
Usiwe tuu mvivu, chakula kitamu hakitaki haraka, utulivu na subra, utapika vitamu weye, ukifika mezani utakula huku wajiramba na wengineo pia watakuramba kwa utamu.
 
Woyooooo!!
Bibi ninae na natambaa nae.
 
Uraibuuu....πŸ˜‹πŸ˜‹

Wafanyabiashara sio kabisa....

Nyama rosti akiitia hajinamoto na giligilani akaaiita makange inapanda bei.... ni jina tuu msosi uleule...

Ntarudi kwenye Diary Milk, sizitaki tena mbichi hizi...πŸ₯±.

Pistachio Chocolate aka Dubai Gold Chocolate.... wizi mtupuu, sirudii tena.

Jangwa kitandani, ice cream with pistachio Chocolate πŸ˜‹πŸ˜‹.
 
Matunda ni Kasinde, Kasinde ni Mahaba
Mahaba ni matunda πŸ˜‹.

Kula tunda uwe mtamu...πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹.

Pata picha wale walizaliwa inakorinwa asali...πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹. Asili ya utamu na mautamu kila mahali...πŸ₯°.
 
Afu eti saa hizi tumbo bado linataka tena na mihayo juu ya kupasua taya msamba.....!!

Nauza tumbo, nipeni bei...

Kama maini, figo na bandama vinauzika, mie nalinadi tumbo jamani, mwenye kulihitaji... bei maelewano.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…