Hahaha😀😀😀View attachment 3383823
Kama dada wanipenda, kaninunulie zezee
Nikilala kitandani, zeze lanibembeleza...😋😋😋
View attachment 3383824
Dededede oohh dedee
Dedee nakudedaeeeeh eeeehhh....😋😋😋.
Sasa tutakula nini mchana?View attachment 3385269
Mpishi mbishi, mchicha mbichi...
Jiko limemtupa Kasinde...😔😔😔😫😫😫.
Mshika mawili, moja humponyoka....
Pishi likaniponyoka huku nikivutana na mpemba anivunjie nazi ya kuungia futari....😔.
Sasa tutakula nini mchana?