Bibi nifundishe kupika,View attachment 3389091
Kuna siku mkono ukiamua kupika, tumbo ndo linafurahia mahanjam...
Na Bwana akila akashiba, matokeo nayapata kunako uwanja wa Athumani nipasulie mbao... [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39].
Bibi nifundishe kupika,
Woyooooo!!Darasa umepata mjukuu, uje na mwiko na sufuria vingine utavikuta huku.
Usiwe tuu mvivu, chakula kitamu hakitaki haraka, utulivu na subra, utapika vitamu weye, ukifika mezani utakula huku wajiramba na wengineo pia watakuramba kwa utamu.
Hapo penyewe😍😍View attachment 3392837
When it comes to fruits 😋😍, call me a Monkey eehehehe yeah...
But not Monkey Pie Ngabu 😜😜😜
Nyani Ngabu
Am frutty tootie Monkey 😍.