Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

1750409436054.jpg
1750409442069.jpg
 
20250621_203148.jpg


Mapishi ni kama kisu, kadri unavyokinoa na kukitumia ndo kinaongezeka makali. Usipokitumia kinakuwa butu.

Kadri unavyopika kila leo ndo maujuzi bin maujanja yanaongezeka yaani unafuzu kitivo cha kushindilia kitovu...😋😋

20250621_203219.jpg

Shurti makee ndani/juu ya kisosi 😋😋😋😋
 
Back
Top Bottom