Uzi wa vyakula tu

Dawa mojawapo ya kusafisha tumbo ni kuliweka mbali na chakula kwa siku 2 yaani masaa 48, ukishindwa masaa 36 sio mbaya.

Na unafanya hivi ukiwa na chakula cha kutosha kupika au kununua na kula.
 
Dawa mojawapo ya kusafisha tumbo ni kuliweka mbali na chakula kwa siku 2 yaani masaa 48, ukishindwa masaa 36 sio mbaya.

Na unafanya hivi ukiwa na chakula cha kutosha kupika au kununua na kula.
Masaa 48 bila kula? Unakuwa unakunywa vinywaji vingine?
 
Masaa 48 bila kula? Unakuwa unakunywa vinywaji vingine?

24 kavu, kuanzia 36 kuelekea 48 ukiweza unavuta kavu. Ukiona macho yanageuka unakula tunda moja lenye sukari mara moja hadi kesho yake.

Kuna kipindi nilikuwa nasubiria jambo, nilikaa masaa 72 kavu.

Mind you, 24 kavu na kazini naenda ila kazi ya kukaa sio ya mikikimikiki.

Ila 72 nilikuwa ndani nyumbani, nilikuwa natoka kitandani chooni kitandani tena, kuamka, kulala, kuamka.... it was awful with blessings.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…