Huu ni ubende?
Nimetamani hizo snickersView attachment 3237351
Mwenye hii kiwanda ya Snickers anataka kuniharibu meno.....
I just can't control my watering mouth whenever I see a bar of snickers.
The sweetness is the genre.


Nimetamani hizo snickers![]()
Twix na KitKat unazipenda pia?View attachment 3237351
Mwenye hii kiwanda ya Snickers anataka kuniharibu meno.....🥺🥺🥺
I just can't control my watering mouth whenever I see a bar of snickers.
The sweetness is the genre 😋.
Twix na KitKat unazipenda pia?
Ila kuwa mwangalifu usije ukapata kitambi 😀.
Hahahaa.Zamani nilikuwa mdau wa KitKat ila Snickers ameshika hatamu na sioni mpinzani wa kumtoa 😋😋.
Twix sijawahi kuzipenda, ina mchanganyiko ambao haujaninogesha.
Aahahahahaa kitambi kinaniogopa, nakitoa barabarani kwenye kukimbiza upepo 😅. Sema pia kuna muda najisahaulisha sitaki kuziendekeza sana, huwa naacha nipate hamu halafu nikifululiza kula naipotezea.
Nilijiwekea namna ya kudhibiti hata mazagazaga mengine.
Halafu nimekumbuka, nilipata chimbo la Biriani sehemu 2 tofauti, moja ilikuwa ya kuku nyingine lamb. It was superb, 😋😋😋😋.
Sikuchukua taswira 🤪.
Hahahaa.
Hapa huwa tunagombana wakati mwingine kisa gummy bears 🤣.
Haribo Goldbears na Gatorade is 👏.
View attachment 3251097