Kesho hiyo mandi lazima nikalecc mzabzab Mandi hii hapa, jozi moja 😋😋😋.
Wacha wee!! Bibi kwa mapishi ukoKwakweli sema ladha ya hiliki haikusikika kabisaa. Ntarejea tena jikoni nisemezane na ngano. Safari ijayo ntakanda na tui la nazi....



Kesho hiyo mandi lazima nikale
Wacha wee!! Bibi kwa mapishi uko![]()
Mie nashushia na sparkling water lime flavoured baridi sanaaaaUende na mtindi, ina pilipili..😋😋😋.
Hizi ni kau kau?
Kienyeji kabisaa.