Yanaonekana matamu.Cooked with love
View attachment 3220426
Yameiva....
View attachment 3220427
Yakaiva tena.....
Haya yalikaangwa kwenye mafuta, ladha mbili tofauti na kuoka kwenye oven.
Ni mahaba tuu, hakuna jingine.
Alamsiki.
Nilikuwa nasubiri hapa😋😋😋😁Cooked with love 💘💕❤💖
View attachment 3220426
Yameiva....😋😋😋
View attachment 3220427
Yakaiva tena.....
Haya yalikaangwa kwenye mafuta, ladha mbili tofauti na kuoka kwenye oven 😍😍.
Ni mahaba tuu, hakuna jingine.
Alamsiki 👋.
Nilikuwa nasubiri hapa😋😋😋😁
Yanaonekana matamu.
Nitarudi Madaba kula huu ubwabwa
Huu mpunga mtamu sana, ukute umeiva we unagonga tu matonge kijiko tupa kule.
Unaweza kula mpaka ukauliza kwenu wapi?