Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,068
- 136,455
Ugali nyama.
Mbadala mzuri wa ugali wa muhogo na nyama. Sema huku usukumani shrimp tunasikia kwenye radio.
Mkia upi?Hapo ushamfilisi jogoo wa watu,malizia mkia huo
Huo msosi hujaupalasa inavyotakiwa.Mkia upi?
Mi sili ngoziHuo msosi hujaupalasa inavyotakiwa.

😂😂😂😂Suchack njoo tule View attachment 2849309
Ungenipa kamwili kako uone ntakavyokula.😁😂😂😂😂
Dada wa kuonja chakula
Asante sanaSuchack njoo tule View attachment 2849309
busy sana 🥲Poleee!!!Asante sanabusy sana 🥲