Hii Combo na iheshimiwe na Watu wote. 🙌

nestle, uji, cornflakes....
nestle, uji, cornflakes....
depal depal depal

mimi nakula mataputapu🤣Sijawah kuona picha yako humu kwani we huwa hauli![]()
mimi nakula mataputapu
huoni watu wanaapost vitu vitamu

vinginevyo utakua mchoyo tu hautaki watu tule kwa macho eehmara moja moja nawekaga mbona😂 pita pita huko juuTuyaone hayo mataputapuvinginevyo utakua mchoyo tu hautaki watu tule kwa macho eeh
mara moja moja nawekaga mbonapita pita huko juu
