CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,066
- 7,650
Wife ,, Breakfast is ready!

2045 hiyooo



Hapo bado chumvi

Ukizoom vizuri punje punje za chumvi unaziona 😋😋Hapo bado chumvi![]()
Nimeenda kuzoomUkizoom vizuri punje punje za chumvi unaziona![]()
Nimeenda kuzoom
Hapo sasa embe limekamilima.
Mate yamenijaa.
Huku vijijini tunachumia tu maembe kwenye mitiAahahahaha msimu umeanza.
Unaenda sokoni unaunua pakti ya pilipili unga nunua maembe yako hayo ya kula na pilipili hata 10rudi nayo nyumbani unakula moja moja na pilipili huku unachanganya na chumvi uwiano unaotaka.
Kabla hayajaisha au yakibaki 2 unaenda tena sokoni kununua mengine 10.
Raha jipe mwenyeweee 😋😋.
Huku vijijini tunachumia tu maembe kwenye miti
Mzee kashapiga mwendokasi👏👏
Tushazoea😂Mweeh, tutahamiamo huko chijijini mnafaidi.... 😋😋😋😋
Anayejua namna ya kuandaa veggie nyumban.
makolokolo ya kuweka
Nikila kama kule cape town fish market nashindwa kuhamishia ladha kwangu
z-=?'?x?f'xx'?x-?xd6?x??z''6?fffxfxfftfftfffdx'x'?zxweeee zombiiiii
simba la masimba dangote

ff?ffdffrfftffcttftffftc?yyy7yuyuhyhhy7yyyyyyyyy7yydđbryhy?yyg76y?gzy7tfxt çťf??maembe ya kienyeji jau, nyuzi zinabaki kwenye menoView attachment 2810774
Hizi mbegu za kisasa unakula rangi tuu....😒😒
Ladha hakuna kabisa kama gunzi vile.....😐😐
maembe ya kienyeji jau, nyuzi zinabaki kwenye meno