babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,934
- 20,229
Asante baby hiyohiyo inatutosha😁
Asante baby hiyohiyo inatutosha😁
Hivyohivyo zilivyo na ugaliNjoo nikupikie!!

Yaani na mimi J2 ntakaangiza kama hivyoMi pia...mpaka nikazidisha portion ya ugali kisa ulafi!
Poleeee!! Inabidi umfundishe kidogo kidogo mpaka ajue.Hivyohivyo zilivyo na ugali
Dada yetu wa nyumbani mapishi bado
Kuna siku najikuta nashindwa kula.
Poleeee!! Inabidi umfundishe kidogo kidogo mpaka ajue.
Poleeeeee!!! Weekend basi kama unakuwepo nyumbani.Narudi usiku😂💔
Alkasusi ikasome ukila hilo Dona na huo mchemsho wa dagaa babake.
Nipate huu ugali muda huu