mac muga 98
Member
- May 14, 2022
- 85
- 95
UnathemaaaaNapenda sana pia zinanisaidia nisipate choo kigumu🫣

UnathemaaaaNapenda sana pia zinanisaidia nisipate choo kigumu🫣

Eeee hivyo hivyoUnathemaaaa![]()
Silagi vichwa aiseee huo ndo ugonjwa wanguutamu wa samaki kichwa mkuu.....umekiachaje
Mimi nilishashindwa toka mdogo kula kichwa na Yale machoUkitaka nisile samaki bakisha kichwa. Sili kabisa sijui nakionaje.
Sent using Jamii Forums mobile app

Au kichwa cha kambale na zile ndevu aah bora nisile samaki kabisa.Mimi nilishashindwa toka mdogo kula kichwa na Yale macho![]()
Hata mimi nazipenda sana hasa zikichanganywa na nyama au samaki.Napenda sana pia zinanisaidia nisipate choo kigumu🫣
Kwa navyojua kuyatengeneza mtindi hayatakubali sababu cream hapo inakua ishaharibiwa. Kunywa kawaida unaweza ila hayatakuwa matamu.Nilikuwa nachemsha maziwa yamekatika nayaweza kutengeneza mtindi au?na nayafanyaje au ni kumwaga tu
Kwa navyojua kuyatengeneza mtindi hayatakubali sababu cream hapo inakua ishaharibiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Restaurant au hotel gani yenye misosi mizuri hivi?
kama ushayachemsha hayo ni kumwaga tu hayatengenezeki mtindiNilikuwa nachemsha maziwa yamekatika nayaweza kutengeneza mtindi au?na nayafanyaje au ni kumwaga tu
uwiii kwetu sie mwiko kutupa kichwa yaani ndomadini yote unayapata hapo....na ule utamu wa jichoSilagi vichwa aiseee huo ndo ugonjwa wangu


ila awe sato fresh utafurahi zaidikama ushayachemsha hayo ni kumwaga tu hayatengenezeki mtindi
Ukitaka nisile samaki bakisha kichwa. Sili kabisa sijui nakionaje.
Sent using Jamii Forums mobile app


ayee unakosa vitu vizur sasa ila sio kila kichwa cha samaki kinaliwa mie sato,pelege ndo nakulaSipendi ule uteute wa ndani TU naona kinyaaAu kichwa cha kambale na zile ndevu aah bora nisile samaki kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ule uteute auuwiii kwetu sie mwiko kutupa kichwa yaani ndomadini yote unayapata hapo....na ule utamu wa jichoila awe sato fresh utafurahi zaidi


Wewe kula wali maharage achana na vya hotel bana ebooRestaurant au hotel gani yenye misosi mizuri hivi?
Sio kwamba zinaongeza utelezi😜Napenda sana pia zinanisaidia nisipate choo kigumu🫣
Sio kwamba zinaongeza utelezi😜