Mbona dagaa mchele kama hujazigusa
Ulikaanga mwenyewe kumbe?Ni nyingi kinoma mzee za 3000 pale feli
Ulikaanga mwenyewe kumbe?
NhMain course will be served after 12hrs 😁
Mke hapa niwekee tu cha kwangu nakuja.
Hilo sotojo ungekaanga kwanza ingekua perfect.Samaki mbichi aliyeungwa 😋View attachment 2526479
Mara hii...hata wiki haijaisha??? Kaza bana!!!!Mke hapa niwekee tu cha kwangu nakuja.
Nimejaribu kufunga kwarezma shashindwa mapema tu😁
Shachemsha siku 3 tu.Mara hii...hata wiki haijaisha??? Kaza bana!!!!
Usafi wa hali ya juu 👏🏾👏🏾
Yoyote ile ila hasa ya kuku na ng'ombeYa nyama gani?
Wa nyumbani [emoji2960]View attachment 2507399
Mafinga kwa Babu Kuku