binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 13,119
- 34,444
Tule wapendwa wangu.
Habiby, food tester nipo hapa. Ndio vitu vyangu hivi!Karibu, nipo nafundishwa na bimkubwa kupika biscuits zikiiva nitaleta mrejesho then kesho nitapika peke yangu. Nitajifunza na keki niwe pro kama wewe huwa unanitamanisha kweli yaani.View attachment 2523546



Hizo za kijani kama mbaazi huwa zinaitwaje nazipenda sana kuzilaGood morning View attachment 2524722
Umenunua au umepikaView attachment 2525099kula tuletutoke
Maana halisi ya Kata simu tuko site
Leo umepikaSamaki mbichi aliyeungwaView attachment 2526479
😂😂😅 napikagaLeo umepika