Green beansHizo za kijani kama mbaazi huwa zinaitwaje nazipenda sana kuzila
5 ndo yanabakia
10 uliyovunja, ndio utayakaanga
10 mengine utayachemsha
5 ndo yatauzwa
Eggcellent! 😀15 eggs
No 4 🤩View attachment 2526925
Yako ni namba ngapi au yako haipo kabisa unakula unasaga hadi mifupa
Namba yangu haipoView attachment 2526925
Yako ni namba ngapi au yako haipo kabisa unakula unasaga hadi mifupa
Namuachia 🐈Mshuahako kamfupa unakuachia nani
Namuachia![]()
Mbona dagaa mchele kama hujazigusa