Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Mbona jana hukunialika?
Huyu mwenyewe kabisa,wapi mkuu iguguno au kinambeuNyumbani ni nyumbani tu singida.pure chicken View attachment 2330614
Kiomboi mkuuHuyu mwenyewe kabisa,wapi mkuu iguguno au kinambeu
Mtaani huko kijijini old au bomani.Kiomboi mkuu
Boman hapaMtaani huko kijijini old au bomani.
Bomani zamani sana nilikaa hapo kwa mjomba.Boman hapa
Aisee basi mimi nipo kwa wazee nimekuja kuwasabahiBomani zamani sana nilikaa hapo kwa mjomba.
Asisahau yakutoleaTuma tu nauli,mapema sana nitakuwa nimefika.
Thats my wife
Hongera sana mkuu, lazima nifike siku moja 😋💪Wazee nimefungua restaurant kariakoo hapo, mtaa wa muheza karibuni mniunge mkono ndugu zangu, si lazima kujitambulisha unaweza fika ukapiga msosi ukaondoka, ukiona si mbaya kujuzana si mbaya tukachekiana kama nitakuwepo(sikai saana hapo) ofisini tupige stori mbili 3, JamiiForum ni familia