Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,844
- 16,094
Ahaaa sawa sawa mkuuHapana.
Nimezikuza picha hizI zote za Kiongozi makaveli10
Siku yoyote nikipita mitaa yake nitaenda kumuunga mkono
Ahaaa sawa sawa mkuuHapana.
Nimezikuza picha hizI zote za Kiongozi makaveli10
Siku yoyote nikipita mitaa yake nitaenda kumuunga mkono
Ndio nini hivi? minyoo inakimbizana utumbo hauna kitu
Mimi mwenyewe nimelimiss pilauNdio nini hivi? minyoo inakimbizana utumbo hauna kitu
Sihuwa unalipika kila jumapili?
Hata katikati ya wiki nikilimissSihuwa unalipika kila jumapili?
Njoo tupike
Ile michemsho yako iko wapi?Njoo tupike
Njoo sasa. Leo mchemsho kesho pilau
Nakuja kula



KaribuNakuja kula![]()
Tuma tu nauli,mapema sana nitakuwa nimefika.Njoo sasa. Leo mchemsho kesho pilau
Poa nitumie namba yako nikutumieTuma tu nauli,mapema sana nitakuwa nimefika.
Hivi ulishaifuta?Poa nitumie namba yako nikutumie
Yeah niliifuta ila bahati mbaya.
Hizi tambi au niniView attachment 2327549
Ukichoka wali maharage
Acha hizo basi mpaka kila mtu ajue?