babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,939
- 20,231
Buku jero😄😄😄Zege heavy la mkoani kama huwezi kula wallahi unaliacha,View attachment 2326740
Buku jero😄😄😄Zege heavy la mkoani kama huwezi kula wallahi unaliacha,View attachment 2326740
YaaahBuku jero![]()

View attachment 2327549
Ukichoka wali maharage

Ewaaa nishapata menu ya usiku nikitoka kibaruani napita sokoni asee😋😋👆
connection mkuu wapi hii?Imagine eti apo ni 1kroadtrips raha sana.View attachment 2327546
Njoo sehem moja wanaita mbingu ni moro ndani ndani yani ifakara alafu kwa mbele ila jiandae kunywa maziwa daily maana ni kuna vumbi halielezekiconnection mkuu wapi hii?

. Uku mdudu
kilo 6k hadi kuondoka nashindwaHili chimbo ntalitafuta mwezi ujao nipo IfakaraNjoo sehem moja wanaita mbingu ni moro ndani ndani yani ifakara alafu kwa mbele ila jiandae kunywa maziwa daily maana ni kuna vumbi halielezeki. Uku mdudu
kilo 6k hadi kuondoka nashindwa
Njoo sehem moja wanaita mbingu ni moro ndani ndani yani ifakara alafu kwa mbele ila jiandae kunywa maziwa daily maana ni kuna vumbi halielezeki. Uku mdudu
kilo 6k hadi kuondoka nashindwa
Zipo ukifika ifakara chukua gari zinaenda sehem inaitwa mlimba then utashukia mbingu ukifika tafuta lodge moja inaitwa BIRO hapo ni 10k per night napia iyo iyo road unayopita inatoboa hadi iringa.Kuna public transport na lodge? Natafuta pa kwenda weekend hii
Ntaondoka kesho jioniZipo ukifika ifakara chukua gari zinaenda sehem inaitwa mlimba then utashukia mbingu ukifika tafuta lodge moja inaitwa BIRO hapo ni 10k per night napia iyo iyo road unayopita inatoboa hadi iringa.
Hapo mbingu kunakuwaga na ndizi sana hapoNjoo sehem moja wanaita mbingu ni moro ndani ndani yani ifakara alafu kwa mbele ila jiandae kunywa maziwa daily maana ni kuna vumbi halielezeki. Uku mdudu
kilo 6k hadi kuondoka nashindwa
Ndizi 500 mkuu zinakaa 7Hapo mbingu kunakuwaga na ndizi sana hapo
kuna nyama choma za kuku hapo za buku buku kama hizi wa kienyejiSawa mkuuu enjoyNtaondoka kesho jioni
Nitoboe mpaka Iringa